Skip to content
ما لا يسع أطفال المسلمين جهله

ما لا يسع أطفال المسلمين جهله

Nao ni mtaala rahisi na mwepesi uliokamilika katika maswala ya Itikadi, na elimu ya sheria (Fiq-hi), Historia, Adabu, na tafsiri, na hadithi, na tabia njema, na nyiradi, na mtaala huu unafaa kwa watoto na watu wa rika zote, na wageni katika uislamu, na wapatiwe majumbani na sehemu za malezi na vituo vya kielimu, kwa ajili ya kuhifadhiwa na kufafanuliwa, na nimeupangilia kulingana na fani mbali mbali, pia nimeuweka katika mfumo wa maswali na majibu; kwa sababu mfumo huo hukaa zaidi akilini, na hukita zaidi katika kuhifadhi, na mlezi anatakiwa achague yale yanayoendana na umri wao.

0%
Font size