Skip to content
الزَّلزَلة /

Aya 6

99 : 6

Aya 6 of الزَّلزَلة (99 : 6). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الزَّلزَلة Aya 8
Sura · الزَّلزَلة
Kiswahili · Barawani
99 : 6

يَوۡمَئِذٖ يَصۡدُرُ ٱلنَّاسُ أَشۡتَاتٗا لِّيُرَوۡاْ أَعۡمَٰلَهُمۡ

Siku hiyo watu watatoka kwa mfarakano wakaonyweshwe vitendo vyao!

Explanation & meanings · 1
  1. Siku hiyo watu watatoka makaburini mbio, nao wamo katika mtafaruku, wapate kuziona hisabu zao na malipo yao aliyo waahidi Mwenyezi Mungu.