20 : 5 ٱلرَّحۡمَٰنُ عَلَى ٱلۡعَرۡشِ ٱسۡتَوَىٰ Arrahmani (Mwingi wa rehema), aliyeinuka juu ya Kiti cha Enzi.