Skip to content
التَّكاثُر /

Aya 8

102 : 8
التَّكاثُر Aya 8
Sura · التَّكاثُر
Kiswahili · Barawani
102 : 8

ثُمَّ لَتُسۡـَٔلُنَّ يَوۡمَئِذٍ عَنِ ٱلنَّعِيمِ

Tena bila ya shaka mtaulizwa siku hiyo juu ya neema.

Explanation & meanings · 1
  1. Tena naapa na natilia mkazo kwamba hakika nyinyi mtahisabiwa kwa neema mlizo deka nazo na mkazistarehea.