Skip to content
العَاديَات /

Aya 11

100 : 11

Aya 11 of العَاديَات (100 : 11). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

العَاديَات Aya 11
Sura · العَاديَات
Kiswahili · Barawani
100 : 11

إِنَّ رَبَّهُم بِهِمۡ يَوۡمَئِذٖ لَّخَبِيرُۢ

Kuwa hakika Mola wao Mlezi siku hiyo bila ya shaka atakuwa na khabari zao wote!

Explanation & meanings · 1
  1. Kwamba hakika Mlezi wao na Muumba wao bila ya shaka anajua vyema vitendo vyao na malipo yao Siku ya Kufufuliwa na Kulipwa.