Skip to content
الزُّخرُف /

Aya 14

43 : 14
الزُّخرُف Aya 89
Sura · الزُّخرُف
Kiswahili · Barawani
43 : 14

وَإِنَّآ إِلَىٰ رَبِّنَا لَمُنقَلِبُونَ

Na hakika sisi tutarudi kwa Mola wetu Mlezi.

Explanation & meanings · 1
  1. Na hakika sisi ni wenye kurejea kwa Muumba wetu baada ya maisha haya, ili ahisabiwe kila mmoja kwa iliyo tanguliza mikono yake.