Skip to content
النَّاس /

Aya 5

114 : 5

Aya 5 of النَّاس (114 : 5). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّاس Aya 6
Sura · النَّاس
Kiswahili · Barawani
114 : 5

ٱلَّذِي يُوَسۡوِسُ فِي صُدُورِ ٱلنَّاسِ

Anaye tia wasiwasi katika vifua vya watu,

Explanation & meanings · 1
  1. Ambaye hutia kwa kificho katika vifua vya watu ya kuwaachisha wasende kwenye njia ya uwongofu.