Skip to content
النِّسَاء /

Aya 145

4 : 145

Aya 145 of النِّسَاء (4 : 145). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النِّسَاء Aya 176
Sura · النِّسَاء
Kiswahili · Barawani
4 : 145

إِنَّ ٱلۡمُنَٰفِقِينَ فِي ٱلدَّرۡكِ ٱلۡأَسۡفَلِ مِنَ ٱلنَّارِ وَلَن تَجِدَ لَهُمۡ نَصِيرًا

Hakika wanaafiki watakuwa katika t'abaka ya chini kabisa Motoni, wala hutompata yeyote wa kuwanusuru.

Explanation & meanings · 1
  1. Hakika wanaafiki kwa sababu ya unaafiki wao watakuwa katika vina vya Jahannamu. Wao wako chini kabisa huko, na daraja ya mwisho kabisa. Wala hutompata wa kuwanusuru, wa kuwatetea na adhabu hiyo.