Alikuwa Mtume Rehema na amani ziwe juu yake anapoingia msalani anasema: "Allaahumma inniy Auudhubika minal khubuthi wal khabaa ithi" (Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi ninajikinga kwako kutokana na mashetani wa kike na mashetani wa kiume)
- التصنيف الشرعي
- الأدعية والأذكار والرقائقأذكار الدخول والخروج من الخلاءالفقهالطهارةالاستنجاء وقضاء الحاجة
- موضوعات الحديث
- الطهارةآداب قضاء الحاجة
Imepokewa Kutoka kwa Anas Radhi za Allah ziwe juu yake amesema:
Alikuwa Mtume Rehema na amani ziwe juu yake anapoingia msalani anasema: "Allaahumma inniy Auudhubika minal khubuthi wal khabaa ithi" (Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi ninajikinga kwako kutokana na mashetani wa kike na mashetani wa kiume).
كَانَ النَّبِيُّ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ إِذَا دَخَلَ الخَلاَءَ قَالَ: «اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنَ الخُبُثِ وَالخَبَائِثِ».
Alikuwa Mtume Rehema na amani ziwe juu yake anapotaka kuingia mahali ambapo atakidhi haja yake hapo, haja ndogo au kubwa, anaomba kinga kwa Mwenyezi Mungu, na anajielekeza kwake amkinge na shari za mashetani wa kiume na wa kike, Na limetafsiriwa neno khubuthi na khabaaithi (Mashetani wa kiume na wa kike) kwa maana ya shari na najisi.
...:
Sunna ya dua hii wakati wa kutaka kuingia msalani.
Viumbe wote ni wahitaji kwa Mola wao Mlezi katika kuzuia yenye kuwaudhi au kuwadhuru katika hali zao zote.
Swahiih Al Bukhaariy (1/ 40) (142).
Swahiih Muslim (1/ 283) (375).
Swahiih Al Bukhaariy (1/ 40) (142).
Swahiih Muslim (1/ 283) (375).
Zaidi (8)
الإلمام بشرح عمدة الأحكام.
لإسماعيل الأنصاري (1/ 23).
تيسير العلام شرح عمدة الأحكام.
للبسام (ص36).
الإلمام بشرح عمدة الأحكام.
لإسماعيل الأنصاري (1/ 23).
تيسير العلام شرح عمدة الأحكام.
للبسام (ص36).
Imenukuliwa katika vitabu
18 Vitabu- Hisnu Al-Muslim Kutoka Katika Nyiradi Za Kitabu Na Sunnaحصن المسلمTafsiri: "[Kwa jina la Mwenyezi Mungu]. Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi najilinda kwako kutokana na mashetani wa kiume na mashetani wa kike."[24]
- MAMBO YA MSINGI AMBAYO HAITAKIKANI KWA WATOTO WA KIISLAMU KUTO YAJUA.Allaahumma inni audhubika minal khubuthi wal khabaa ithi": "Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi najilinda kwako kutokana na mashetani wa kiume na mashetani wa kike."
- MAMBO YA MSINGI AMBAYO HAITAKIKANI KWA WATOTO WA KIISLAMU KUTO YAJUA."Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi najilinda kwako kutokana na mashetani wa kiume na mashetani wa kike".
- Mambo Ambayo Haitakikani kwa Muislamu Kutoyajua"Allahumma innii a'udhu bika minalkhubthi walkhabaaith (Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi najilinda kwako kutokana na mashetani wa kiume na mashetani wa kike)." [10]
Zaidi (14)
- الخطب المنبرية موسوعة الخطب المنبرية (القسم الثاني)«اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنَ الْخُبُثِ وَالْخَبَائِثِ»
- الذكر والدعاء والعلاج بالرقي من الكتاب والسنة"اللهم إني أعوذ بك من الخُبُثِ والخبائث" .
- المناهج التعليمية - الصف الثانيمادة الفقه - الصف الثاني«اللَّهمَّ إنِّي أعوذُ بِك مِن الخبْثِ والخبائِثِ»[3].
- رسالة في الأذكار1«اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنَ الخُبُثِ وَالخَبَائِثِ».
- مجموعة زاد التربية الإسلامية (1)، والسيرة النبوبة (1)، والعقيدة (1)، والفقه (1)مجموعة زاد الفقه (1)«بسم اﷲ، اللهمَّ إني أعوذ بك من الخبث والخبائث».
- مجموعة زاد التربية الإسلامية (3)، والسيرة النبوية (3)التربية الإٍسلامية -3- «اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنَ الْخُبْثِ وَالْخَبَائِثِ»
- مشروع المنهج التعليميمادة الحديث مستوى 1«اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنَ الخُبُثِ وَالخَبَائِثِ»
- مشروع المنهج التعليميمادة الحديث مستوى 1«اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنَ الخُبُثِ وَالخَبَائِثِ»
- مشروع المنهج التعليميمادة الحديث مستوى 1«اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنَ الخُبُثِ وَالخَبَائِثِ».
- مشروع المنهج التعليميمادة الحديث مستوى 1«اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنَ الخُبُثِ وَالخَبَائِثِ».
- مشروع المنهج التعليميمادة الدعوة«اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنَ الخُبُثِ وَالخَبَائِثِ».
- مشروع المنهج التعليميمادة الدعوة«اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنَ الخُبُثِ وَالخَبَائِثِ»
- مشروع منهاج زادكزادك 1 طالب«اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنَ الخُبُثِ وَالخَبَائِثِ»
- مشروع منهاج زادكزادك عرض 1«اللهم إني أعوذ بك من الخبث والخبائث».