109 : 6
لَكُمۡ دِينُكُمۡ وَلِيَ دِينِ
Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
Explanation & meanings · 1
- Nyinyi mna dini yenu mnayo itakidi, na mimi nina Dini yangu aliyo niteulia Mwenyezi Mungu niishike.
لَكُمۡ دِينُكُمۡ وَلِيَ دِينِ
Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.