1 : 3
ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu;
Explanation & meanings · 1
- Na Yeye ndiye Mwenye rehema ya kudumu, na rehema inatokana naye. Ananeemesha kwa neema zote ndogo na kubwa. (Arrahman ni jina lake Mwenyezi Mungu tu, na hafai mtu kuitwa hivyo.)