Skip to content
النَّحل /

Aya 18

16 : 18

Aya 18 of النَّحل (16 : 18). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 18

وَإِن تَعُدُّواْ نِعۡمَةَ ٱللَّهِ لَا تُحۡصُوهَآۗ إِنَّ ٱللَّهَ لَغَفُورٞ رَّحِيمٞ

Na mkizihisabu neema za Mwenyezi Mungu, hamwezi kuzidhibiti.Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye maghfira, Mwenye kurehemu.

Explanation & meanings · 1
  1. Na mkitaka kuzihisabu neema za Mwenyezi Mungu juu yenu, hamwezi kuzidhibiti. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kusamehe, Mkunjufu wa rehema. Basi tubuni kwake, na mumsafie ibada, ili apate kukusameheni na kukurehemuni.