111 : 1
تَبَّتۡ يَدَآ أَبِي لَهَبٖ وَتَبَّ
Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia.
Explanation & meanings · 1
- Imeteketea mikono ya Abu Lahab iliyo kuwa ikiwaudhi Waislamu, na yeye mwenyewe amehiliki pia.
تَبَّتۡ يَدَآ أَبِي لَهَبٖ وَتَبَّ
Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia.