Skip to content
الزَّلزَلة /

Aya 7

99 : 7
الزَّلزَلة Aya 8
Sura · الزَّلزَلة
Kiswahili · Barawani
99 : 7

فَمَن يَعۡمَلۡ مِثۡقَالَ ذَرَّةٍ خَيۡرٗا يَرَهُۥ

Basi anaye tenda chembe ya wema, atauona!

Explanation & meanings · 1
  1. Basi mwenye kufanya hata kitu chenye uzito wa punje ya mchanga cha kheri ataiona katika daftari lake, na atapata malipo yake.