110 : 1
إِذَا جَآءَ نَصۡرُ ٱللَّهِ وَٱلۡفَتۡحُ
Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi,
Explanation & meanings · 1
- Ikithibiti nusura ya Mwnyezi Mungu na ushindi kwako na kwa Waumini,
إِذَا جَآءَ نَصۡرُ ٱللَّهِ وَٱلۡفَتۡحُ
Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi,