Skip to content
الزَّلزَلة /

Aya 8

99 : 8
الزَّلزَلة Aya 8
Sura · الزَّلزَلة
Kiswahili · Barawani
99 : 8

وَمَن يَعۡمَلۡ مِثۡقَالَ ذَرَّةٖ شَرّٗا يَرَهُۥ

Na anaye tenda chembe ya uovu atauona!

Explanation & meanings · 1
  1. Na mwenye kufanya shari ya uzito wa chembe ya mchanga ataiona kadhaalika, na atapata malipo yake. Wala Mola wako Mlezi hatamdhulumu yeyote.