1 : 6 ٱهۡدِنَا ٱلصِّرَٰطَ ٱلۡمُسۡتَقِيمَ Tuongoe njia iliyonyooka. 6Hide explanation (1)Explanation & meanings · 16Tunakuomba utuwafikishe kuendea Njia ya haki, na kheri na mafanikio.