100 : 6
إِنَّ ٱلۡإِنسَٰنَ لِرَبِّهِۦ لَكَنُودٞ
Hakika mwanaadamu ni mtovu wa fadhila kwa Mola wake Mlezi!
Explanation & meanings · 1
- Hakika mwanaadamu ni mwingi wa kuzikufuru neema za Mola wake Mlezi ambazo hazikadiriki.
Aya 6 of العَاديَات (100 : 6). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
إِنَّ ٱلۡإِنسَٰنَ لِرَبِّهِۦ لَكَنُودٞ
Hakika mwanaadamu ni mtovu wa fadhila kwa Mola wake Mlezi!