الشهادتين

الشهادتين

Utakapotaka kuingia katika Uislamu, ni wajibu kwako utamke Shahada ifuatayo kwa sauti yenye kusikika, na kufahamu maana yake na kuiamini: Ash-hadu an-laa ilaaha illa-llahu (Maneno haya yanamaanisha kuwa: Ninashuhudia (kwa moyo na kutamka kwa ulimi) kwamba hapana yeyote anayestahili kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu peke yake). Na ninashuhudia (kwa moyo na kutamka kwa ulimi) kwamba Muhammad ni mtume wa Mwenyezi Mungu, na Issa mwana wa Mariamu ni mja wa Mwenyezi Mungu na ni mtume wake.

Language: lang_sw
Prepared by:
Version: 1.0
Translations 44
Akan Assamese Bambara Bengali +40
Attachments 7
PDF
Audio
Video
+3

Utakapotaka kuingia katika Uislamu, ni wajibu kwako utamke Shahada ifuatayo kwa sauti yenye kusikika, na kufahamu maana yake na kuiamini: Ash-hadu an-laa ilaaha illa-llahu (Maneno haya yanamaanisha kuwa: Ninashuhudia (kwa moyo na kutamka kwa ulimi) kwamba hapana yeyote anayestahili kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu peke yake). Na ninashuhudia (kwa moyo na kutamka kwa ulimi) kwamba Muhammad ni mtume wa Mwenyezi Mungu, na Issa mwana wa Mariamu ni mja wa Mwenyezi Mungu na ni mtume wake.

Ninashuhudia (kwa moyo na kutamka kwa ulimi) kwamba hapana mungu apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu, na kwamba Muhammad ni mtume wa Mwenyezi Mungu.