Sadaka haikuwahi kupunguza chochote katika mali, na hakuna jambo zuri zaidi analomzidishia Mwenyezi Mungu mja kwa kusamehe zaidi kama kupewa utukufu, na hakuwahi kunyenyekea yeyote kwa ajili Mwenyezi Mungu isipokuwa Mwenyezi Mungu humnyanyua
Imepokewa kutoka kwa Abuu Huraira -Allah amridhie- kutoka kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amesema:
"Sadaka haikuwahi kupunguza chochote katika mali, na hakuna jambo zuri zaidi analomzidishia Mwenyezi Mungu mja kwa kusamehe zaidi kama kupewa utukufu, na hakuwahi kunyenyekea yeyote kwa ajili Mwenyezi Mungu isipokuwa Mwenyezi Mungu humnyanyua".
«مَا نَقَصَتْ صَدَقَةٌ مِنْ مَالٍ، وَمَا زَادَ اللهُ عَبْدًا بِعَفْوٍ إِلَّا عِزًّا، وَمَا تَوَاضَعَ أَحَدٌ لِلهِ إِلَّا رَفَعَهُ اللهُ».
Anabainisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuwa sadaka haipunguzi mali, bali inaikinga na maafa, na Mwenyezi Mungu humpa badala mwenye nayo ya kheri kubwa, inakuwa ni ziada na sio kupungua. Na kusamehe kunapokuwa na uwezo wa kulipiza kisasi hakukuwahi kuzidisha kwa mwenye kusamehe isipokuwa nguvu na utukufu. Na hakuwahi kunyenyekea na kujidhalilisha yeyote kwa kutaka radhi za Allah, si kwa kumuogopa yeyote, na si kwa kujipendekeza kwa yeyote, na wala si kwa kutaka manufaa kwake, isipokuwa mtu huyu malipo yake yatakuwa ni kunyanyuliwa na kupewa utukufu.
Kheri na kufaulu vinapatikana kwa kutekeleza sheria na kufanya mambo ya kheri hata kama baadhi ya watu watadhania kinyume na hivyo.
Swahiih Muslim (4/ 2001) (2588).
Zaidi (8)
توضيح الأحكام من بلوغ المرام.
للبسام (7/ 501).
منحة العلام في شرح بلوغ المرام.
لعبد الله الفوزان (10/ 354).
فتح ذي الجلال والإكرام.
لابن عثيمين (6/ 438).
سبل السلام بشرح بلوغ المرام.
للصنعاني (2/ 692).
Imenukuliwa katika vitabu
11 Vitabu- YALIYO CHAGULIWA KUTOKA KATIKA SOKO LENYE FAIDA KATIKA THAWABU ZA MATENDO MEMA.المنتقى من المتجر الرابح في ثواب العمل الصالح"Haijawahi kupunguza sadaka chochote katika mali".
- YALIYO CHAGULIWA KUTOKA KATIKA SOKO LENYE FAIDA KATIKA THAWABU ZA MATENDO MEMA.المنتقى من المتجر الرابح في ثواب العمل الصالح"Haijawahi kupunguza sadaka chochote katika mali, na hajawahi kumzidishia Mwenyezi Mungu mja kwa usamehevu (wake) isipokuwa utukufu, na hajawahi kunyenyekea yeyote isipokuwa Mwenyezi Mungu Mtukufu alimnyanyua".
Zaidi (9)
- الخطب المنبريةموسوعة الخطب المنبرية (القسم الثالث)«مَا نَقَصَتْ صَدَقَةٌ مِنْ مَالٍ، وَمَا زَادَ اللَّهُ عَبْدًا بِعَفْوٍ إِلَّا عِزًّا، وَمَا تَوَاضَعَ أَحَدٌ لِلَّهِ إِلَّا رَفَعَهُ»
- الله -جل جلاله- أنيس المحبين وملاذ القاصدين«مَا زَادَ اللهُ عَبْدًا بِعَفْوٍ إِلَّا عِزًّا»
- الله -جل جلاله- أنيس المحبين وملاذ القاصدين«وَمَا تَوَاضَعَ أَحَدٌ لِلهِ إِلَّا رَفَعَهُ اللهُ»
- النفحات المكية في تفسير كتاب رب البريةالجزء الثاني والعشرون«ما نَقَصَتْ صَدَقَةٌ مِنْ مَالٍ»([1])؛
- رياض الصالحينرياض الصالحين مع فوائد وهدايات - 3«مَا نَقَصَت صَدَقَةٌ مِنْ مَالٍ، وَما زَادَ الله عَبْداً بِعَفْوٍ إلَّا عِزّاً، وَما تَوَاضَعَ أَحَدٌ للهِ إلَّا رَفَعَهُ اللهُ _عز وجل_».
- رياض الصالحينرياض الصالحين مع فوائد وهدايات - 3«ما نَقَصَتْ صَدَقَةٌ من مالٍ، وما زادَ اللهُ عَبداً بِعَفْوٍ إلَّا عِزّاً، ومَا تَوَاضَعَ أَحَدٌ لله إلاّ رَفَعَهُ الله».
- فصول في الصيام والتراويح والزكاة"مَا نَقَصَتْ صَدَقَةٌ مِنْ مَالٍ" [20].
- ما لا يسع أطفال المسلمين جهله«وَمَا تَوَاضَعَ أَحَدٌ لِلَّهِ إِلَّا رَفَعَهُ اللَّهُ»[200].
- مجموعة زاد الحديث(3)1«ما نقَصَتْ صَدَقةٌ من مَالٍ، وما زَادَ الله عَبْدًا بعَفْوٍ إلا عِزًّا، وما تواضَعَ أَحَدٌ لله إلا رَفَعَهُ الله».