100 : 5
فَوَسَطۡنَ بِهِۦ جَمۡعًا
Na wakijitoma kati ya kundi,
Explanation & meanings · 1
- Ikawa vumbi limewagubika maadui hata wakaingiwa kiwewe na kufazaika.
Aya 5 of العَاديَات (100 : 5). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
فَوَسَطۡنَ بِهِۦ جَمۡعًا
Na wakijitoma kati ya kundi,