Skip to content
العَاديَات /

Aya 8

100 : 8

Aya 8 of العَاديَات (100 : 8). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

العَاديَات Aya 11
Sura · العَاديَات
Kiswahili · Barawani
100 : 8

وَإِنَّهُۥ لِحُبِّ ٱلۡخَيۡرِ لَشَدِيدٌ

Naye hakika bila ya shaka ana nguvu za kupenda mali!

Explanation & meanings · 1
  1. Na hakika yeye kwa uchoyo na kuyapenda mali alio nayo, ni bakhili, hatoi kama inavyo mwajibikia katika mali yake.