Skip to content
العَاديَات /

Aya 7

100 : 7

Aya 7 of العَاديَات (100 : 7). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

العَاديَات Aya 11
Sura · العَاديَات
Kiswahili · Barawani
100 : 7

وَإِنَّهُۥ عَلَىٰ ذَٰلِكَ لَشَهِيدٞ

Na hakika yeye mwenyewe bila ya shaka ni shahidi wa hayo!

Explanation & meanings · 1
  1. Na hakika yeye mwenyewe bila ya shaka atakuwa mwingi wa kuja jishuhudia huko Akhera kwa kuungama madhambi yake.