Skip to content
قُرَيش /

Aya 4

106 : 4
قُرَيش Aya 4
Sura · قُرَيش
Kiswahili · Barawani
106 : 4

ٱلَّذِيٓ أَطۡعَمَهُم مِّن جُوعٖ وَءَامَنَهُم مِّنۡ خَوۡفِۭ

Ambaye anawalisha wasipate njaa, na anawalinda na khofu.

Explanation & meanings · 1
  1. Ambaye anawalisha wasione njaa, na hali wao wamo katika bonde lisio na makulima, na akawalinda na khofu na watu wengine pembezoni mwao wananyakuliwa.