Skip to content
العَصر /

Aya 2

103 : 2

Aya 2 of العَصر (103 : 2). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

العَصر Aya 3
Sura · العَصر
Kiswahili · Barawani
103 : 2

إِنَّ ٱلۡإِنسَٰنَ لَفِي خُسۡرٍ

Hakika binaadamu bila ya shaka yumo katika khasara,

Explanation & meanings · 1
  1. Hakika kila binaadamu bila ya shaka yumo katika namna fulani au fulani ya kukhasiri, kwa mujibu wa anavyo ghilibiwa na pumbao na matamanio.