101 : 1
ٱلۡقَارِعَةُ
Inayo gonga!
Explanation & meanings · 1
- AL-QAARIA'H, Inayo gonga, ni Kiyama, ambacho kinaanza kwa mpulizo wa mwanzo wa barugumu, na kinaishia itapo katwa hukumu baina ya watu.
Aya 1 of القَارعَة (101 : 1). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
ٱلۡقَارِعَةُ
Inayo gonga!