107 : 4
فَوَيۡلٞ لِّلۡمُصَلِّينَ
Basi, ole wao wanao swali,
Explanation & meanings · 1
- Maangamio yatawashukia wanao sali na wakasifika kwa sifa hizi, na wakaghafilika na Swala zao wasinafiike nazo.
Aya 4 of المَاعُون (107 : 4). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
فَوَيۡلٞ لِّلۡمُصَلِّينَ
Basi, ole wao wanao swali,