Skip to content
Misingi Mitatu na Ushahidi wake:

Misingi Mitatu na Ushahidi wake:

Kitabu hiki kinazungumzia mambo ya msingi ambayo yampasa Muislamu kujifunza: Kumjua Mwenyezi Mungu Mtukufu, kuijua dini ya Uislamu, na kumjua Mtume Muhammad - rehema na amani ziwe juu yake-, na kinaweka mkazo juu ya umuhimu wa mambo haya ya msingi katika kujenga imani na matendo mema kwa kutegemea ushahidi kutoka katika Qur'an tukufu na Sunna za Mtume.

Lugha: lang_sw
Imeandaliwa na: Sheikh Muhammad At- Tamiimiy (Mwenyezi Mungu amrehemu)
Toleo: 2.0

These files are generated automatically from the book's text; their layout may differ from the printed edition.

0%
Font size