Skip to content
الزُّمَر /

Aya 31

39 : 31
الزُّمَر Aya 75
Sura · الزُّمَر
Kiswahili · Barawani
39 : 31

ثُمَّ إِنَّكُمۡ يَوۡمَ ٱلۡقِيَٰمَةِ عِندَ رَبِّكُمۡ تَخۡتَصِمُونَ

Kisha bila ya shaka mtagombana Siku ya Kiyama mbele ya Mola wenu Mlezi.

Explanation & meanings · 1
  1. Kisha baada ya kufa kwenu mtafufuliwa mbele ya Mwenyezi Mungu mkishitakiana nyinyi kwa nyinyi.