73 : 16
فَعَصَىٰ فِرۡعَوۡنُ ٱلرَّسُولَ فَأَخَذۡنَٰهُ أَخۡذٗا وَبِيلٗا
Lakini Firauni alimuasi huyo Mtume, basi tukamshika mshiko wa mateso.
Explanation & meanings · 1
- Firauni akamkataa huyo Mtume, basi tukamshika kwa mshiko wa nguvu!