26 : 219
وَتَقَلُّبَكَ فِي ٱلسَّٰجِدِينَ
Na mageuko yako kati ya wanao sujudu.
Explanation & meanings · 1
- Na anaona mwendo wako kati ya wanao sali, kwa kusimama, na kukaa, na kurukuu na kusujudu, pale unapo waongoza katika Swala.
Aya 219 of الشعراء (26 : 219). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
وَتَقَلُّبَكَ فِي ٱلسَّٰجِدِينَ
Na mageuko yako kati ya wanao sujudu.