43 : 26
وَإِذۡ قَالَ إِبۡرَٰهِيمُ لِأَبِيهِ وَقَوۡمِهِۦٓ إِنَّنِي بَرَآءٞ مِّمَّا تَعۡبُدُونَ
Na pale Ibrahim alipo mwambia baba yake na kaumu yake: Hakika mimi ninajitenga mbali na hayo mnayo yaabudu,
Explanation & meanings · 1
- Na ewe Muhammad! Waambie hao wanao kanusha hadithi ya Ibrahim pale alipo mwambia baba yake: Hakika mimi nimejitenga mbali na ibada ya kuiabudu hii miungu yenu ya uwongo.