Skip to content
Misingi sita:

Misingi sita:

Amesema Mtunzi Sheikhul Islamu Muhammadi bin Abdil wahhab -Mwenyezi Mungu amrehemu Kwa Jina la Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu: Katika maajabu makubwa, na miujiza mikubwa inayoonyesha juu ya uwezo wa mfalme mshindi ni misingi sita aliyoibainisha Mwenyezi Mungu Mtukufu wazi wazi kwa watu wote kuliko hata wanavyodhani wenye kudhani, kisha baada ya hili wakachanganya watu wengi miongoni mwa werevu wa dunia, na wenye akili nyingi katika wanadamu isipokuwa wachache sana. Msingi wa kwanza: Ni kutakasa dini kwa ajili ya Mwenyezi Mungu Mtukufu yeye pekee asiyekuwa na mshirika wake, na…

Lugha: lang_sw
Imeandaliwa na:
Toleo: 1.1

These files are generated automatically from the book's text; their layout may differ from the printed edition.

0%
Font size