Skip to content
النَّحل /

Aya 128

16 : 128

Aya 128 of النَّحل (16 : 128). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 128

إِنَّ ٱللَّهَ مَعَ ٱلَّذِينَ ٱتَّقَواْ وَّٱلَّذِينَ هُم مُّحۡسِنُونَ

Hakika Mwenyezi Mungu yu pamoja na wenye kumcha, na watendao mema. .

Explanation & meanings · 1
  1. Kwani hakika Mola wako Mlezi yu pamoja na wale wanao jikinga na ghadhabu ya Mwenyezi Mungu kwa kuyaepuka anayo yakataza, na wakazifanya a'mali zao ziwe nzuri kwa sababu ya Mwenyezi Mungu kwa kukubali kumt'ii. Yeye atawanusuru duniani, na Akhera atawalipa bora ya malipo.