54 : 49
إِنَّا كُلَّ شَيۡءٍ خَلَقۡنَٰهُ بِقَدَرٖ
Kwa hakika Sisi tumekiumba kila kitu kwa kipimo.
Explanation & meanings · 1
- Hakika Sisi tumeumba kila kitu. Tumeviumba kwa kukadiria inavyo hitajia hikima.
Aya 49 of القَمَر (54 : 49). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
إِنَّا كُلَّ شَيۡءٍ خَلَقۡنَٰهُ بِقَدَرٖ
Kwa hakika Sisi tumekiumba kila kitu kwa kipimo.