Skip to content
النِّسَاء /

Aya 98

4 : 98

Aya 98 of النِّسَاء (4 : 98). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النِّسَاء Aya 176
Sura · النِّسَاء
Kiswahili · Barawani
4 : 98

إِلَّا ٱلۡمُسۡتَضۡعَفِينَ مِنَ ٱلرِّجَالِ وَٱلنِّسَآءِ وَٱلۡوِلۡدَٰنِ لَا يَسۡتَطِيعُونَ حِيلَةٗ وَلَا يَهۡتَدُونَ سَبِيلٗا

Isipo kuwa wale walio kuwa wanyonge miongoni mwa wanaume na wanawake na watoto wasio na uweza wa hila ya kuongoza njia ya kuhama.

Explanation & meanings · 1
  1. Juu ya hivyo wanasameheka na adhabu hii wale wasio weza kusafiri miongoni mwa wanaume, na wanawake, na watoto, wasio na nguvu, na hawana hila, wala hawakupata njia ya kutoka.