Skip to content
نُوح /

Aya 18

71 : 18

Aya 18 of نُوح (71 : 18). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

نُوح Aya 28
Sura · نُوح
Kiswahili · Barawani
71 : 18

ثُمَّ يُعِيدُكُمۡ فِيهَا وَيُخۡرِجُكُمۡ إِخۡرَاجٗا

Kisha atakurudsheni humo na atakutoeni tena.

Explanation & meanings · 1
  1. Na Mwenyezi Mungu ndiye aliye kuumbeni kutokana na ardhi, akakuotesheni kama miema kwa njia ya ajabu, kisha baada ya kufa atakurejesheni huko huko kwenye ardhi, na tena atakutoeni huko kwa hakika hapana hivi wala hivi.