Skip to content
Hisnu Al-Muslim Kutoka Katika Nyiradi Za Kitabu Na Sunna

Hisnu Al-Muslim Kutoka Katika Nyiradi Za Kitabu Na Sunna

Kitabu kinakusanya Adhkari kutoka katika Kitabu na Sunna ili iwe rahisi kuzikariri katika nyakati na hali mbalimbali, na kinajumuisha Dua (maombi) za kuamka, kutawadha, swala, safari, na mengineyo, jambo ambalo linamsaidia Muislamu kuikinga nafsi yake ili awe katika hifadhi ya Mwenyezi Mungu na uangalizi wake.

0%
Font size