Yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa akisema kati ya sijida mbiliL "Rabbigh-firlii, Rabbigh-firlii
Kutoka kwa Hudhaifa -Radhi za Allah ziwe juu yake-:
Yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa akisema kati ya sijida mbiliL "Rabbigh-firlii, Rabbigh-firlii".
أَنَّ النَّبِيَّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ كَانَ يَقُولُ بَيْنَ السَّجْدَتَيْنِ: «رَبِّ اغْفِرْ لِي، رَبِّ اغْفِرْ لِي».
Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akisema wakati wa kikao kilichopo baina ya sijida mbili: Rabbigh-firlii, Rabbigh-firlii. Na maana ya Rabbigh-firlii: Ni mja kuomba kutoka kwa Mola wake ayafute madhambi yake na asitiri aibu zake.
...:
Sheria ya dua hii kati ya sijida mbili katika swala ya faradhi na sunna.
Inapendeza kuirudiarudia kauli ya Rabbigh-firlii, ila wajibu ni kuisema mara moja.
Sunanu Abii Daud (2/ 154) (874).
Sunanu Al Nasaai (2/ 231) (1145).
Sunanu Ibn Maajah (2/ 64) (897).
Musnad wa Ahmad (38/ 392) (23375).
Zaidi (1)
نيل الأوطار (2/ 305).
Imenukuliwa katika vitabu
6 Vitabu- Hisnu Al-Muslim Kutoka Katika Nyiradi Za Kitabu Na Sunnaحصن المسلم"Ewe Mola wangu Mlezi nisamehe, ewe Mola wangu Mlezi nisamehe."[72]
- Hisnu Al-Muslim Kutoka Katika Nyiradi Za Kitabu Na Sunnaحصن المسلمRabbi ghfir li, Rabbi ghfir li
Zaidi (4)
- الذكر والدعاء والعلاج بالرقي من الكتاب والسنة"رب اغفر لي، ربِّ اغفر لي".
- تطبيق القرآن والأذكارأذكار الصلاة((رَبِّ اغْفِرْ لِي، رَبِّ اغْفِرْ لِي))[72].
- رسالة في الأذكار1«رَبِّ اغْفِرْ لِي، رَبِّ اغْفِرْ لِي».
- مجموعة زاد السيرة النبوية (2)1أَنَّ النَّبيَّ صلى الله عليه وسلم كانَ يَلْبَسُ خاتَمَهُ في يَمِينِهِ.