Skip to content
Itikadi sahihi na mambo yanayopingana nayo

Itikadi sahihi na mambo yanayopingana nayo

Makala ya kwanza: Mtunzi Mheshimiwa, Sheikh, Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu peke yake, na rehema na amani ziwe juu ya yule ambaye hakuna nabii atakayekuja baada yake, na ziwe juu ya watu wa familia yake na Maswahaba wake. Ama baada ya kusema hayo: Kwa maana itikadi sahihi ndiyo asili ya dini ya Uislamu na msingi wa mila, nimeona kwamba ni muhimu nizungumzie maudhui haya, kuandika juu yake na kutunga makala katika kuyaeleza na kuyabainisha.

0%
Font size