Skip to content
Ash-Shura /

Aya 21

42 : 21

Aya 21 of Ash-Shura (42 : 21). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

Ash-Shura Aya 53
Sura · Ash-Shura
Kiswahili · Barawani
42 : 21

أَمۡ لَهُمۡ شُرَكَٰٓؤُاْ شَرَعُواْ لَهُم مِّنَ ٱلدِّينِ مَا لَمۡ يَأۡذَنۢ بِهِ ٱللَّهُۚ وَلَوۡلَا كَلِمَةُ ٱلۡفَصۡلِ لَقُضِيَ بَيۡنَهُمۡۗ وَإِنَّ ٱلظَّٰلِمِينَ لَهُمۡ عَذَابٌ أَلِيمٞ

Au hao wana miungu ya kishirikina walio watungia dini asiyo itolea idhini Mwenyezi Mungu? Na lau lisinge kuwako neno la kupambanua basi wangeli katiwa hukumu baina yao. Na hakika wenye kudhulumu watapata adhabu chungu.

Explanation & meanings · 1
  1. Kwani wao wanao miungu walio watungia dini nyengine asiyo iamrisha Mwenyezi Mungu? Hayakuwa hayo! Na lau halikwisha tangulia agano la kuakhirisha hukumu mpaka Siku ya Kiyama, basi bila ya shaka pangeli hukumiwa baina ya makafiri na Waumini hapa hapa duniani. Na hakika walio jidhulumu nafsi zao kwa ukafiri watapata adhabu yenye machungu makali.