Skip to content
الفُرقَان /

Aya 69

25 : 69
الفُرقَان Aya 77
Sura · الفُرقَان
Kiswahili · Barawani
25 : 69

يُضَٰعَفۡ لَهُ ٱلۡعَذَابُ يَوۡمَ ٱلۡقِيَٰمَةِ وَيَخۡلُدۡ فِيهِۦ مُهَانًا

Atazidishiwa adhabu Siku ya Kiyama, na atadumu humo kwa kufedheheka.

Explanation & meanings · 1
  1. Na Siku ya Kiyama atapata adhabu mardufu kuliko hiyo, na atadumu Motoni kwa udhalili na unyonge.