Skip to content
يُونس /

Aya 80

10 : 80
يُونس Aya 109
Sura · يُونس
Kiswahili · Barawani
10 : 80

فَلَمَّا جَآءَ ٱلسَّحَرَةُ قَالَ لَهُم مُّوسَىٰٓ أَلۡقُواْ مَآ أَنتُم مُّلۡقُونَ

Basi walipo kuja wachawi, Musa aliwaambia: Tupeni mnavyo tupa!

Explanation & meanings · 1
  1. Walipo hudhuria wachawi, na wakasimama mbele ya Musa kupambana naye kwa uchawi wao mbele ya watu, Musa aliwaambia: Leteni huo uchawi mlio nao!