Skip to content
الأعرَاف /

Aya 21

7 : 21

Aya 21 of الأعرَاف (7 : 21). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الأعرَاف Aya 206
Sura · الأعرَاف
Kiswahili · Barawani
7 : 21

وَقَاسَمَهُمَآ إِنِّي لَكُمَا لَمِنَ ٱلنَّٰصِحِينَ

Naye akawaapia: Kwa yakini mimi ni miongoni wa wanao kunasihini.

Explanation & meanings · 1
  1. Naye akawaapia kuwa ati yeye ni katika wanao wapa nasaha njema, na akakariri kiapo chake.