Skip to content
الأنبيَاء /

Aya 27

21 : 27

Aya 27 of الأنبيَاء (21 : 27). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الأنبيَاء Aya 112
Sura · الأنبيَاء
Kiswahili · Barawani
21 : 27

لَا يَسۡبِقُونَهُۥ بِٱلۡقَوۡلِ وَهُم بِأَمۡرِهِۦ يَعۡمَلُونَ

Hawamtangulii kwa neno, nao wanafanya amri zake.

Explanation & meanings · 1
  1. Hawamtangulii Mwenyezi Mungu kwa kauli yao wainenayo kabla ya Yeye kuwapa ruhusa. Na wao hawatendi lolote ila kwa amri yake tu, wala hawapindukii mipaka ya amri anayo waamrisha.