Skip to content
الجِن /

Aya 21

72 : 21
الجِن Aya 28
Sura · الجِن
Kiswahili · Barawani
72 : 21

قُلۡ إِنِّي لَآ أَمۡلِكُ لَكُمۡ ضَرّٗا وَلَا رَشَدٗا

Sema: Mimi sina mamlaka ya kukudhuruni wala kukuongozeni.

Explanation & meanings · 1
  1. Sema: Mimi sina uweza wowote juu yenu wa kukuondoleeni madhara, wala kukuleteeni uwongofu na manufaa.