Skip to content

kamilisha hadithi: "Hakika bila shaka amali zote huzingatiwa nia" na eleza baadhi ya faida zake.

الباب / الفصل
قسم الحديث

السؤال

س1: أكمل حديث: «إنما الأعمال بالنيات ...»، واذكر بعض فوائده.

Swali 1-: kamilisha hadithi: "Hakika bila shaka amali zote huzingatiwa nia" na eleza baadhi ya faida zake.

الجواب

ج:عن أمير المؤمنين أبي حفص عمر بن الخطاب رَضِيَ اللَّهُ تَعَالَى عَنْهُ قال: سمعت رسول الله صَلَّى اللهُ تَعَالَى عَلَيْهِ وعَلَى آَلِهِ وَسَلَّمَ يقول:

«إنما الأعمال بالنيات، وإنما لكل امرئ ما نوى، فمن كانت هجرته إلى الله ورسوله؛ فهجرته إلى الله ورسوله، ومن كانت هجرته لدنيا يصيبها، أو امرأة ينكحها؛ فهجرته إلى ما هاجر إليه»

رواه البخاري ومسلم.

فوائد من الحديث:

  1. كل عمل لا بد له من نية، من صلاة، وصوم، وحج، وغيرها من الأعمال.
  2. لا بد من الإخلاص في النية لله تَعَالَى.

Jawabu: Kutoka kwa kiongozi wa waumini Abuu Hafsi Omari bin Khattwab Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake amesema: Nilimsikia Mjumbe wa Mwenyezi Mungu Mtukufu Rehema na Amani ziwe juu yake akisema:

"Hakika matendo yote huzingatiwa nia, na hakika kila mtu hulipwa kwa lile alilolinuia, atakayekuwa kuhama kwake ni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu na Mtume wake basi (malipo yake yatakuwa) ni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu na Mtume wake, na atakayekuwa kuhama kwake ni kwa ajili ya dunia ataipata, au kwa ajili ya mwanamke ili amuoe, basi kuhama kwake kutakuwa ni kwa lile alilolihamia".

Ameipokea Bukhari na Muslim.

Faida zinazo patikana katika hadithi

  1. Kila matendo lazima yawe na nia, kama swala, na swaumu, na Hijja, na matendo mengine.
  2. Ni lazima kutakasa nia kwa ajili ya Mwenyezi Mungu Mtukufu.