Skip to content

السؤال

س2: أكمل حديث «من أحدث في أمرنا هذا ...»، واذكر بعض فوائده.

Kamilisha hadithi: "Atakayezua katika jambo letu hili" na eleza baadhi ya faida zake?

الجواب

ج:عن أم المؤمنين أم عبد الله عائشة رَضِيَ اللَّهُ عَنْهَا قالت: قال رسول الله ﷺ:

«من أحدث في أمرنا هذا ما ليس منه، فهو ردٌّ»

رواه البخاري ومسلم.

فوائد من الحديث:

  1. النهي عن الابتداع في الدين.
  2. وأن الأعمال المحدثة مردودة غير مقبولة.

Jawabu: Kutoka kwa mama wa waumini mama Abdillah Aisha Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, amesema: amesema Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake

"Yeyote atakayezua katika jambo letu hili (Dini yetu hii) jambo ambalo si katika dini hii basi atarejeshewa jambo hilo alilolizua"

Ameipokea Bukhari na Muslim.

Faida zinazo patikana katika hadithi

  1. Katazo la kuzua katika dini.
  2. Na yakwamba matendo yote yenye kuzushwa hurejeshwa na hayakubaliki.