Skip to content
Fadhila na adabu za Msikiti wa bwana Mtume na hukumu za kuzuru kaburi la Mtume, rehema na amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, na kaburi za Maswahaba zake wawili, Mwenyezi Mungu awe radhi nao

Fadhila na adabu za Msikiti wa bwana Mtume na hukumu za kuzuru kaburi la Mtume, rehema na amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, na kaburi za Maswahaba zake wawili, Mwenyezi Mungu awe radhi nao

Kitabu kinabainisha fadhila za Msikiti wa Mtume na adabu za kuutembelea, vile vile kinaeleza adabu za kulizuru kaburi la Mtume, rehema na amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, na makaburi ya maswahaba zake wawili, Mwenyezi Mungu awe radhi nao, huku kikisisitiza umuhimu wa utulivu na usafi na kujiepusha na matendo ya uzushi wakati wa ziara.

0%
Font size