Skip to content
زيارة المسجد النبوي الشريف

زيارة المسجد النبوي الشريف

Kuutembelea Msikiti Ntukufu Wa Mtume Na Baadhi Ya Tanbihi Na Muongozo Kwa Mwenye Kuutembelea Mtunzi: Dr. Abdallah Bin Najiy Al Mikhlafy Kwa Jina La Mwenyezi Mungu Mwingi Wa Rehma Mwenye Kurehemu Utangulizi Kila sifa kamilifu zinamstahiki Allah ambae amejaalia msikiti wa Mtume Mtukufu- Rehma na amani ziwe juu yake- ni katika ibada kubwa,na akajaalia kuswali ndani yake ni uongeza darja, nwala na amani ziwe juu ya Mtume wetu Muhammad ambae ni kiumbe mtakatifu, na ziwe juu ya familia yake na maswahaba zake na wote walio wafuata Maswahaba kwa wema mpaka siku ya kifo.

0%
Font size